Posted in Flagyl on September 8, 2015

NA GORDON KALULUNGA

MGOMBEA wa nafasi a urais kuptia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli, tangu Agosti 23, mwaka huu, wakati chama chake kikiwa kinazindua kampeni katika viwanja vya, Jangwani jijini Dar es Salaam, alisema anakerwa na atashughulikia suala la ukosefu wa dawa katika
hospitali zetu hapa nchini.

Alishangazwa kuwa katika hospitali nyingi, wagonjwa wanakosa dawa badala yake wanaambiwa wakanunue kwenye maduka ya watu binafsi.

Kupitia sauti hii kutoka hapa nyikani, itatoa ushauri kwa kiongozi huyo na kama I muhimu afanyie kazi, ingawa anaweza kupuuza ili maandiko yatimie yasemayo hekima za masikini hazisikilizwi.

Wakati Magufuli anaona kukosekana kwa dawa hospitalini na hisia za kuwepo wizi wa vitendanishi na dawa hospitalini na dawa kupatikana kwenye maduka ya watu binafsi, mimi sioni tatizo kama aonavyo kiongozi huyo.

Tatizo ninaloliona mimi hasa tangu mwaka 2012 nilipopata mafunzo ya kubobea kuandika habari za afya ya uzazi nchini na kufanya utafiti wa bei za dawa, tatizo na chanzo cha wizi wa dawa hizo ni bei kubwa wala si upatikanaji wa dawa maduka binafsi.

Nianze kwa kusema kuwa, maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote hutegemea zaidi ubora wa afya za wananchi cease from sleep kwa hiyo mifumo ya afya inayoimarisha upatikanaji, ufanisi, urahisi wa kuzifikia na kuzimudu gharama za matibabu ni muhimu katika kuondoa sio tu janga la maambukizi  ya magonjwa bali pia kuondoa ufukara miongoni mwa
wananchi.

Utoaji wa huduma za afya kwa watu wote (Universal soundness Coverage) ni wazo liliasisiwa na katiba ya Shirika la afya duniani ya mwaka 1948 iliyoazimia ya kwamba huduma bora za afya ni haki ya msingi ya kila mtu na mpango wa afya kwa wote ni azimio la Alma Ata lililopitishwa mnamo mwaka 1978 na Tanzania ilisaini maazimio hayo.

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Afya duniani (WHO) ya mwaka 2005, mzigo wa kugharamia huduma za afya kwa malipo ya pesa taslimu kutoka mifukoni inapelekea watu milioni mia moja kuingia kwenye lindi la umaskini kila mwaka.

Wengi wao wapo katika nchi za kusini mwa jangwa la sahara ikiwemo Tanzania na sababu kubwa ikiwa ni mifumo dhaifu iliyopo ya kugharamia huduma za afya na bima za afya na matokeo yake ni kuongezeka kwa maambukizi  ya magonjwa na kupungua kwa nguvu kazi ya Taifa.

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Benki ya Maendeleo ya Afrika mwaka 2010 nchini Rwanda,malipo ya pesa taslimu na gharama kubwa za huduma za afya ilisababisha wananchi kupunguza matumizi ya huduma za afya
kwani idadi ya wagonjwa waliojitokeza katika vituo vya afya ilipungua sana kwa kuwa wengi wao hawakumudu kulipia huduma za afya.

Utafiti uliofanya na Onah na Govendor mwaka 2014 nchini Nigeria ilibainika kuwa baadhi ya mambo yanayosababisha kuwepo na utofauti katika kuzifikia huduma za afya kwa makundi hatarishi hasa akina mother wajane ni mifumo mibaya ya kugharamia huduma za afya na gharama kubwa
za afya.

Baadhi ya waliohojiwa  katika utafiti huo walieleza kuwa inapotokea wanapata maambukizi ya magonjwa na wakati huo hawana pesa ya kulipia vipimo pamoja na dawa,hulazimika kuchukua akiba ya pesa ya chakula,ada
ya shule au mtaji wa biashara anayoifanya ili kugharamia huduma hizo,hata hivyo atahudhuria hospitali endapo tu ugonjwa huo utakuwa mkubwa au homa hiyo itakuwa kali sana.

Hali hii pia inawakumba wananchi wa Tanzania kwani huduma za afya ni ghali mno na wengi wao hawawezi kuzimudu.

Ripoti ya wizara ya afya na ustawi wa jamii ya mwaka 2004,inaeleza kwamba mara baada ya uhuru be excited,Serikali ya Tanzania kupitia wizara ya afya ilianza kutoa huduma za afya bure kwa wananchi wote lakini kufuatia mdororo wa kiuchumi katika miaka ya sabini, kuongezeka kwa idadi ya watu na kuongezeka kwa maambukizi ya magonjwa mapya
ilipelekea serikali kushindwa kuendesha hospitali na vituo vya afya katika ngazi zote na hivyo kuleta matatizo makubwa katika mfumo wa afya.

Ni katika miaka hiyo ndipo serikali ilianza kufikiria mfumo wa
uchangiaji wa huduma za afya kwa kuanzisha ada ya kutumia huduma za afya yaani user remuneration,Bima za afya kwa wafanyakazi na wasio wafanyakazi hata hivyo baada ya miaka 50 ya uhuru tatizo bado ni kubwa na mifumo
hiyo haijafanikiwa na sababu ikiwa ni gharama kubwa za dawa na vifaa tiba.

Utafiti nilioufanya katika baadhi ya mikoa hapa nchini, ikiwemo manispaa ya Dodoma hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na Hospitali ya misheni ya ST,Gemma ambayo pia ni hospitali teule ya Manispaa ya Dodoma, kati ya wagonjwa kumi ambao walitakiwa kulipia shilingi elfu
tano kununua dawa waliomudu kulipia hawakuzidi wagonjwa watano, na watano wengine aidha hawakununua kabisa au waliomba wanunue nusu dozi kwanza na nusu dozi nyingine wakiahidi kununua pindi wapatapo pesa.

Katika utafiti huo, moja ya swali nililododosa ni hili,(unafikiri nini kinaweza tokea endapo mtu ambaye hana uwezo wa kulipia gharama za afya ataumwa?).

Wengi wao walijibu ya kwamba mambo mawili yanaweza kujitokeza, moja kama ana akiba itabidi atumie akiba yake katika matibabu na hivyo kuendelea kuwa maskini zaidi au pili kukosa matibabu na hivyo kupoteza maisha,tafsiri yake ni kwamba gharama kubwa katika upatikanaji wa huduma za afya kwa watu wenye kipato cha chini unapelekea kuongezeka kwa umaskini miongoni mwa wananchi na kuongezeka kwa idadi ya vifo na hivyo kupoteza nguvu kazi ya Taifa.

Hivyo mifumo ya kugharami huduma za afya hapa nchini na soko holela la dawa na vifaa tiba inasababisha uwepo wa bei kubwa ya dawa na vifaa tiba  katika sio tu hospitali zetu bali na maduka ya dawa binafsi pia kwa sababu huduma za afya zinatolewa katika mtazamo wa kibiashara na sio mtazamo wa kihuduma (Business oriented and not profit oriented.)

Hivi sasa hapa nchini zipo mamlaka kadhaa ambazo zinahusika na udhibiti wa bidhaa za afya.Baraza la Famasi limejikita katika kusimamia taaluma ya famasi na kuhakikisha kwamba Wafamasia na Taasisi zinazotoa taaluma ya famasi zinaenenda kwa mujibu wa sheria ya famasi ya mwaka 2011.

Mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) nayo pia inahusika na udhibiti wa dawa ikiwa imejikita zaidi katika kudhibiti usalama,ubora na ufanisi wa dawa zinazoingizwa nchini na zile zinazalishwa ndani ya nchi kwa mujibu wa sheria ya Mamlaka ya chakula na dawa ya mwaka 2003.

Mamlaka hizi zote yaani Baraza la famasi na Mamlaka ya chakula na dawa hazihusiki na udthibiti wa bei na hivyo kupelekea uwepo wa soko huria la dawa na vifaa tiba na hatimaye kufanya bei ya dawa na huduma nyingine za afya kuwa juu kwa kiwango ambacho hakikubaliki na mwananchi kuelemewa na mzigo mkubwa wa matumizi yanayohusiana na matibabu ya afya yake.

Mfano, bei ya wastani ya jumla   kwa sasa ya kapsuli moja ya Amoxycilline yenye 250mg ni shilingi 30 lakini ukienda katika duka la dawa inauzwa shilingi mia moja na zaidi, sawa na asilimia mia tatu thelathini na tatu (333%).

Kidonge kimoja cha metronidazole chenye 200mg kinauzwa kwa shilingi kumi (10) kwa bei ya jumla lakini wastani wa bei katika maduka ya dawa kinauzwa kwa bei ya rejareja ya shilingi hamsini(50) sawa na asilimia mia tano (500%),Swali la kujiuliza ni kwamba faida hii ya 300% hadi 500% kwa bidhaa muhimu na ya lazima kama dawa je watumishi wataacha kuiba ama kufungua maduka ya madawa?

Kwa mantiki hiyo ipo haja ya kuwa na mamlaka itakayodhibiti bei ya dawa na vifaa tiba kwa wafanyabiashara wa bidhaa za afya ili kuondokana na kadhia hii ya bei kubwa ya dawa na vifaa tiba ili kumnusuru mwananchi wa kipato cha chini.

Hii ndiyo sauti ya nyikani kwa ajili ya Dkt. John Mafuli, kuhusu kupunguza tatizo la wizi wa dawa katika hospitali hapa nchini, maana bei ikishuka biashara utadorola na dawa zitapatikana hosptali zetu na vitendea kazi tofauti na ilivyo sasa.

Karibuni sana nyikani mpate mawazo ya watu wenye elimu za UPE.

Rule of thumb despite me is if calories from plump are high, I take a pill by the meal.